Friday, 4 May 2012

RAIS KIKWETE AFANYA UTEUZI WA WABUNGE 3 WAPYA

Prof Sospeter Muhogho
Bi Janet Mbene
Bw James Mbatia (Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wabunge watatu wapya kwa mujibu wa mamlaka ya uteuzi aliyo nayo chini ya Ibara ya 66(i) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wabunge hao wapya ni: Prof. Sospeter Muhogho Bi. Janet Mbene

Bw. James Mbatia (Mwenyekiti NCCR - Mageuzi)

Uteuzi huo unaanza mara moja.

Taarifa imetolewa siku ya leo Alhamisi ya tarehe 3 Mei, 2012 na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment