Sunday, 13 May 2012

Man City watwaa ubingwa wa Premier league





Mfungaji wa bao la kwanza kati ya matatu ya Manchester City dhidi ya Queens Park Rangers Pablo Zabaleta akifurahia. Man City wamekuwa mabingwa baada ya miaka 44 na dakika 94

No comments:

Post a Comment