Mwenyekiti wa muwaza Dk Yussuf Salim afariki dunia
Innaa Lillaahi Wainnaa Ilayhi Raajiuun - Dr Yussuf Saleh Salum Mwenyekiti wa Muwaza Hatunaye Tena
Kwa niaba ya Jumuiya ya MUWAZA, Tunasikitika kutangaza kifo cha Mwenyekiti wetu na Mzee wetu Dr. Yussuf Saleh Salim kilichotokea huko Copenhagen - Denmark
Habari zaidi za mazishi tutakutaarifuni zaidi.

No comments:
Post a Comment