Sunday, 6 November 2011

Picha mbali mbali za Iddi El Hajj – kisiwani Pemba




Dr Shein na Wazanzibar wakihsiriki katika swala ya Eid Al Udha, hapo katika kiwanja cha Gombani Pemba   






Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dkt Ali Mohd Shein (wa pili kulia) na Maalim Seif wakiungana na waumini mbali mbali kusikiliza hotuba za sala ya Iddi zilizotolewa kitaifa katika eneo la Gombani Pemba.









Maalim Seif akiwa na waumini mbali mbali wa dini ya kiislamu kusubiri sala ya Idd-el-Hajj iliyofanyika kitaifa katika viwanja vya Gombani



Maalim Seif akifurahi pamoja na Dkt Shein katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Wete Pemba baada ya kumalizika kwa Baraza la Iddi lililofanyika kwenye ukumbi wa Baraza hilo Pemba



Safari ya Mtwambwe

Na Salma Said



Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akiwa kwenye boti kuelekea kijijini kwake Mtambwe kusalimiana na ndugu na wanafamilia, alipofika kisiwani Pemba leo asubuhi baada ya sala ya Eid El Hajj iliyofanyika katika viwanja vya Gombani na baadae kushiriki katika baraza la Eid lililofanyika Wete Kiswani Pemba


Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akitoa mkono wa Eid El Hajj kwa watoto mbali mbali waliokwenda kumsalimia nyumbani kwake, Jadida Wete Kisiwani Pemba


No comments:

Post a Comment