Sunday, 23 October 2011

WANAWAKE WAZINDUA MUZIKI WA TAARAB ZANZIBAR



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Momamed Shein na Makamo wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad wakiwa katka picha ya pamoja na viongozi wa Serikali na Wasanii wa kikundi cha Taraab Wanawake{Tausi Women Musical Club} baada ya kukizindua rasmi katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel mjini Zanzibar uliofanyika tarehe 22/10/2011.



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akizindua kikundi cha Taraab Wanawake Tausi Taraab 22/10/2011 katika ukumbi wa Salama Bwawani  Hotel Zanzibar.



Watoto waliozaliwa katika Familia za wanamuziki wa Taraab Neema Suru na Nabil Mohd
wakionyesha vipaji vyao katika fani ya kupiga udi katika uzinduzi huo wa kikundi cha Wanawake.



Wasanii wa kikundi cha Tausi Women Musical Club wakionyesha ala za muziki wa uzinduzi wa kikundi hicho katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Zanzinbar tarehe 22/10/2011.

No comments:

Post a Comment