MISS VODACOM TANZANIA AELEKEA LONDON KWA AJILI YA MASHINDANO YA MISS WORLD

Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Izrael (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na mrembo mwingine wa Miss Tanzania 2011, Blessing Ngowi (kushoto), Mama yake mzazi Sabrina Hamisi na Katibu Mkuu wa Kamati ya Miss Tanzania, Bosco Majaliwa katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Oktoba 19,2011 walipo msikindikiza kwenda London Uingereza kushiriki fainali za Miss World zitakazofanyika mwezi ujao.

Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Izrael akipunga mkono wakati akiwa katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Oktoba 19,2011 alipokuwa akiondoka nchini kwenda London Uingereza kushiriki fainali za Miss World zitakazo fanyika mwezi ujao. Salha aliondoka na ndege ya Shirika la Ndege ya Uingereza.
No comments:
Post a Comment