MAN UNITED YAJITETEA KWA LIVERPOOL 1-1

Kama kawaida vijana wa Manchester United huwa hatari kupangua timu zenye ukuta mbovu.Pichani kijana wa Manchester Welbeck akiiwapangua mabeki wa timu ya Liverpool.timu hizi leo zimetoka sare ya bila kufungana.

Goli la kwanza la Liverpool lililofungwa kwa ufundi na Steven Gerald kwa njia ya adhabu.pichani kama umuonavyo Gerald akiachia mkwaju mkali ambao ulikwenda moja kwa moja nyavuni na kumuacha golikipa wa Manchester United akiukodolea macho.
No comments:
Post a Comment