CHATU NDANI YA NYUMBA
Taarifa habari kwa ufupi ya hivi punde kutoka ZBC imeonesha nyoka aina ya
CHATU aliyeingia kwa njia za kimaajabu ndani ya nyumba ya Bw. Zahor. Mtaa wa kikwajuni
Nyoka huyo alitema dhahabu herini na bangili kama hivi zinavyo onekana.
Nyumba aliyoingia haina hata upenyu wa kuweza kuingia nyoka huyo.
huyo aliyemkamata ni mtaalamu wa masuala ya wanyama .

No comments:
Post a Comment