Tuesday, 12 July 2011

BAJETI YA WIZARA YA ARDHI,MAAKAZI MAJI NA NISHATI YAPITA KWA MBINDE
NA PICHA MBALI MBALI KUTOKA BARAZANI LEO HIIA YA ARDHI, MAAKAZI MAJI NA NISHARTI YAPITA KWA MBINDE. A ARDHI, M

 Waziri wa Ardhi, Makaazi Majhi na Nisharti Ali Juma Shamuhuna akizugumza na Watendaji wa Wizara yake baada ya kupitisha bajeti yake leo asubuhi.  
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Asha Bakari na Dr. Sira Mwamboya  wakimpongeza Waziri wa Ardhi Makaazi Maji na Nisharti Ali Juma Shamuhuna, baada ya kupitishwa bajeti ya Wizara yake katika Kikao cha Bajeti ya mwaka 2011 -- 2012.  
 Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu  Hamad Masoud Hamad na Naibu wake Issa Haji Ussi, wakizungumza baada ya kikao cha asubuhi kumalizika na jioni Kuwasilisha Bajeti ya Wizara yake. 
  
 Mwakilishiwa kuteuliwa na Rais Ali Mzee Ali akipongezwa na Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Hamad Msoud Hamad wakiwa nje ya ukumbi wa Mkutano.
 Mwakilishi wa Mji Mkongwe Ismal Jussa akimsalimia Waziri wa Katiba na Sheria Abubakar Khamis.

No comments:

Post a Comment