Monday, 11 July 2011

Balozi wa Tanzania Marekani ateta na wafanyabiashara wa Zanzibar na Marekani

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Bi Mwanaidi Snare kushoto akizungumza na wafanyabiashara wa Kimarekani na wenzao wa Zanzibar juu ya maswala mbalimbali ya kibiashara likiwemo la Utalii, kulia ni Mkurugenzi wa ZIPA Salum Khamis Nassor katika hafla iliyofanyika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar Mwishoni mwa Juma
(Picha na Hamad Hija -Maelezo Zanzibar)

No comments:

Post a Comment