Friday, 3 June 2011

ziara ya rais wa zanzibar Dr shein mjini pemba.


Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Ukutini Pemba,Maalim Ali Hussein,wakati alipofika kuona maendeleo ya Ujenzi wa Skuli hiyo,akiwa katika ziara Kisiwani humo,kuangali maendeleo ya shuhuli mbali mbali za kijamii.



Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akifurahia wimbo ulioimbwa na wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Ukutini Pemba, wakati alipofika kuona maendeleo ya Ujenzi wa Skuli hiyo,akiwa katika ziara Kisiwani humo,kuangalia maendeleo ya shuhuli mbali mbali za kijamii.



Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na wafanyakazi wa Mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kenya-Chambani,(kwa Mtoro),alipotembelea hatua za kazi za hiyo,akiwa katika ziara Kisiwani Pemba,kuangali maendeleo ya shuhuli mbali mbali za kijamii.


Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwasalimia Wazee na wanafunzi,alipowasili katika maeneo ya Mradi wa Ujenzi wa Skuli ya Sekondari Wilaya Ngwachani,Wilaya ya Mkoani Pemba,akiwa katika ziara zake za kuangali maendeleo ya shuhuli mbali mbali za kijamii.




Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akikagua hatua za Ujenzi wa bara bara ya Kenya –Chambani,Wilaya ya Mkoani Pemba,akiwa katika ziara maalun kuangalia miaradi mbali mbali ya maendeleo,katika Mkoa wa Kusini Pemba.

No comments:

Post a Comment