UJUMBE WA TIMU YA WABUNGE WA TANZANIA UKIWA LONDON
Balozi wa Tanzania Uingereza, Mheheshimiwa Peter Kallaghe akiteta jambo na Waheshimiwa Wabunge wa Tanzania, Jobu Ndugai (Naibu Spika), Mussa Azzan Zungu (Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama na Mhe. angela Kairuki.
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Job Ndugai akiteta jambo na Spika wa Bunge la Kenya walipokutana katika Bunge la Uingereza jana.Waheshimiwa Wabunge wako nchini Uingereza kufuatilia malipo ya zaidi ya paundi milioni 29 kutoka BAE System baada ya Mahakama nchini hapa kuiamuru kampuni hiyo kuilipa Tanzania baada ya kugumdulika kwamba kampuni hiyo iliongeza bei ya ununuzi wa Radar.
No comments:
Post a Comment