Monday, 13 June 2011

ZIARA YA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARIF BANDARINI MALINDI ZANZIBAR

 Mkurugenzi wa Shirika la Bandari Zanzibar Mustaf  Aboud Jumbe  akitowa maelezo kwa Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim Seif  alipofanya ziara Bandari ya Malindi. 

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Zanzibar Mustaf Aboud Jumbe akitowa maelezo ya matumizi ya Bandari hiyo akiwa sehemu ya kuhifadhia Makontena.kushoto Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Zanzibar  Mhe. Hamadi Masoud.  
Makamu wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la   Bandari Zanzibar Mustafa Aboud Jumbe, akitowa maelezo ya Meli ya MV. Jitihada  akiwa katika ziara yake kutembelea  Bandari ya Zanzibar, kulia Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Zanzibar Mhe. Hamad Masoud.    

No comments:

Post a Comment