
Makamu wa kwanza wa Rais wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Maalim Seif Sharif Hamad
akihutubia wakazi wa Zanzibar waliofurika katika ukumbi wa Ngome kongwe kushuhudia uzinduzi wa Filamu maalum inayoelezea maisha yake ambayo ilionyeshwa kwa mara ya kwanza katika Tamasha la Filamu Zanzibar inaloedelea hivi sasa kisiwani hapa.
No comments:
Post a Comment