TUNAWALETEA BAADHI YA PICHA ZILIZOPIGWA KATIKA UKUMBI WA BARAZA LA WAWAKILISHI KATIKA HUTBA YA BAJETI YA MWAKA 2011 - 2012 , BAJETI YA KWANZA YA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA ZANZIBAR.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi Mipango na Maendeleo Omar Yussuf Mzee akiwa na Mkoba wa Bajeti ya 2011 - 2012 akiingia katika Ukumbi wa Baraza kuwasilisha.
WAZIRI wa Ofisi ya Rais Fedha Uchumi Mipango na Maendeleo Omar Yussuf Mzee akiingia katika Ukumbi wa Mkutano kusoma bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa 2011 - 2012.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi Mipango na Maendeleo Omar Yussuf Mzee.
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wakifuatilia hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ikiwasilishwa na Waziri husika leo.
WAWAKILISHI wakifuatia kwa makini Hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ikiwasilishwa na Waziri wa Fedha.
Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati wa kusomwa kwa Bajeti leo jioni
WATENDAJI wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakisikiliza hutuba ya Bajeti wakiwa sehemu maalum ya wageni.
VIONGOZI wa Vyama vya Siasa wakifuatilia Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ikisomwa leo jioni.
MABALOZI Wadogo walioko Zanzibar wanaowakilisha Nchi zao wakisikiliza Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ikisomwa.
WAGENI Waalikwa na Watendaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia Hutuba ya Bajeti ya 2011- 2012
WAGENI Waalikwa wakifuatilia hutuba ya Bajeti katika Kikao cha Baraza leo.
WADAU wa Maendeleo wakifuatilia Hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ikiwasilishwa katika Kikao cha Baraza leo.
MWAKILISHI wa Jimbo la Mkanyageni (CUF) Haji Faki Shaali akimpongeza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi Mipango na Maendeleo Omar Yussuf Mzee baada ya kuwasilisha Hutuba ya Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa 2011 - 2012.
HONGERA Mhe. Waziri Omar Yussuf ndivyo inavyoonekana wakisema Waheshimiwa hao kulia Dk. Mwinyihaji Makame Waziri wa Nchi na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Asha Bakari Mwakilishi wa Wanawake.
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho akitoka katika Ukumbi wa Baraza baada ya kuahirisha kikao cha Asubuhi, kujiandaa na Hutuba ya Bajetibaada yamaliza Maswali na Majibu.
WAZiRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohammed Aboud akiteta na Mwakilishi wa Mji Mkongwe Jussa Ismail wa baada ya kughairishwa kikao cha Baraza asubuhi.
Mwakilishi wa Jimbo la Kwahani Ali Salum, na wa Kwamtipura Hamza Hassan na katikati Mwakilishi wa Jimbo la
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Pandu Ameir Kificho akibadilisha mawazo wa Wajumbe wa Baraza katika Fatma Ferej na Zahra Ali Hamad wakiwa nje ya Ukumbi baada ya Kikao cha Asubuhi.
WAJUMBE wa baraza la wawakilishi wakitoka katika Ukumbi wa Baraza kulia Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Zanzibar Hamad Masoud na Waziri wa Sheria na Katiba Abubakary Khamis.
No comments:
Post a Comment