Rais wa zanzibar Dk Ali Mohammed Shein akutana na balozi wa mambo ya uhusiano wa kisiasa wa uturuki.
Rais wa zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi Hassan Servat Oktem,Mkurugenzi Mkuu wa Mambo ya Uhusiano wa Kisiasa wa Nchi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Uturuki, leo alipofika Ikulu Mjini Zanziba,(katikati)Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania,Dr Sander GURBUZ.
No comments:
Post a Comment