Saturday, 16 April 2011

Madaktari Mtandao wa Hospitali za Apolo nchini India wamtembelea rais wa zanzibar dr shein ikulu leo.

Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Dr Hari Prasad, afisa Mkuu eneo la kati kutoka Mtandao wa Hospitali za Apolo nchini India,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo .



Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Dr Hari Prasad,na Meneja Mkuu Ustawi wa Biashara wa Kimataifa,Radhey Mohan,(kushoto).kutoka Mtandao wa Hospitali za Apolo nchini India,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.Picha na Ramadhan Othman,Afisi ya Rais Zanzibar.

No comments:

Post a Comment