Shein aadhimisha siku 100 madarakani


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambaye pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Dk Ali Mohamed Shein, akitoa shukrani zake kwa wanachama wa chama chake wa mikoa mitatu ya Unguja, kwa kumchagua kuwa rais katika uchaguzi mkuu wa mwaka uliopita. Hii ilikuwa ni jana, 26 Februari 2010
No comments:
Post a Comment