Kheri yote inapatikana pale Mwenyezi Mungu anaporidhika na mja wake, na funguo za kheri zimo katika Dua pamoja na unyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu na kuonesha kumpenda kwa kutenda yale yanayomridhisha na pia kumuogopa kwa kuepukana na makatazo yake.
Mja anapokabidhiwa na Mola wake funguo hizi basi ajue kuwa Mola wake anamtakia kheri, na anaponyimwa basi ajue kuwa amefungiwa milango ya kheri
Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa mgeni rasmi wa maadhimisho ya Bonanza la kuukaribisha mwaka mpya 2011 kwa mazoezi ya viungo katika uwanja wa Amani stadium mjini Unguja leo hii
No comments:
Post a Comment