Thursday, 23 June 2011

KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA AZUNGUMZIA DAWA MSETO YA MARALIA

                                   
Katibu mkuu wa wizara ya Afya ustawi wa jamii Bi. Blandina Nyoni akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake jana jijini Dar es salaam juu ya upatikanaji wa dawa mseto za kutibu ugonjwa wa malaria kwa gharama nafuu katika sekta binafsi tanzania bara lengo kuu ni kuhakikisha kuwa wananchi wote hapa nchini wanapata tiba sahihi ya malaria kwa gharama nafuu.

                                 
Bi. Blandina Nyoni akiwaonyesha waandishi wa habari dawa mseto iliyopatikana kwa ajili ya kutibu Maralia.

No comments:

Post a Comment