Tuesday, 15 March 2011

WAKE WA WAWAKILISH​I NA WABUNGE WATOA MISAADA KWA WAATHIRIKA WA MABOMU  GONGO LAMBOTO






Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Seif Iddi akimkabidhi msaada 
wa Nguo kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala Leondas Gama kwa ajili ya Wananchi waliopata madhara
 ya mripuko wa mabomu huko Gongolamboto hivi karibuni. 







MKUU wa Wilaya ya Ilala Leondas Gama akitowa shukrani kwa Msaada wa Wake wa
Wawakilishi na Wabunge kwa kujali hali ya Wananchi wezao waliopata madhara ya miripuko ya mabomu





Baadhi ya Wabunge na Wake wa Wawakilishi na Wabunge wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Ilala
Leonidas Gama akitowa maelezo ya madhara ya wananchi walioathirika na miripuko
 ya mabomu Gongolamboto

No comments:

Post a Comment