Sunday, 13 March 2011

   Maalim Seif akiwa katika mazoezi







Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, akifanya mazoezi katika hospitali ya Apollo Hyderabad alipofanyiwa upasuaji wa goti wiki iliyopita

No comments:

Post a Comment