RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akisalimiana na mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto (Unicef) Tanzania Bi Dorothy Rozga na picha juu akizungumza na mwakilishi huyo wa Unicef Ikulu Zanzibar leo.
No comments:
Post a Comment