Kwa niaba ya uwongozi wa Blog yetu tunawatakia Waislamu wote popote duniani Kheri za Mwaka Mpya wa Hijria 1432,
Leo ni mwezi mosi muharam 1432 Hijria
Tunatowa wito kupendana na kusahau tofauti zetu za mwaka jana ,Na kufunguwa kurasa mpya za kujiandaa na akhera huko twendako
Inshaallah uwe mwaka wa kheri, furaha, baraka. - Amiin
No comments:
Post a Comment