MAWAZIRI NA MANAIBU WA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA ZANZIBAR 2010 2015
Waziri wa nchi ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe Dr Mwinyihaji Makame {ccm}
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha, Uchumi na Mipango ya Maendeleo
Mhe Omar Yussuf Mzee {ccm}
Waziri wa Nchi Offisi ya Rais {Uchumi wa Umma na utawala bora}
Mhe Haji Omar Kheri {ccm}
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa kwanza wa Rais
Mhe Fatma Abdulhabib Fereji {cuf}
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa pili wa Rais
Mhe Mohammed Aboud Mohammed {ccm}
Waziri wa Katiba na Sheria
Mhe Aboubakar Khamis Bakary {cuf}
Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano
Mhe Hamad Masoud Hamad {cuf}
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali
Mhe Ramadhan Abdullah Shabban {ccm}
Wizara ya Afya
Mhe Juma Duni Haji {cuf}
Wizara ya Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya Wanawake na Watoto
Mhe Zaina Omar Mohammed {ccm}
Wizara ya Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo
Mhe Abdillahi Jihad Hassan {cuf}
Wizara ya Ardhi, Makaazi,Maji na Nishati
Mhe Ali Juma Shamhuna {ccm}
Wizara ya Kilimo na Maliasili
Mhe Mansoor Yussuf Himid {ccm}
Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko
Mhe Nassor Ahmed Mazrui {cuf}
Wizara ya Mifugo na Uvuvi
Mhe Said Ali Mbarouk {cuf}
Wizara ya Kazi,Uwezeshaji wananchi kiuchumi na Ushirika
Mhe Haroun Ali Suleiman {ccm}
Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi na Waziri asiekuwa na Wizara Maalum
Mhe Suleiman Othman Nyanga {ccm}
Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi na waziri asiekuwa na Wizara Maalum
Mhe Haji Faki Shaali {cuf}
Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi na waziri asiekuwa na Wizara Maaluum
Mhe Machano Othman Said {ccm}
Naibu warizi
Naibu Wizara ya Miundombinu na Mafunzo ya Amali
Mhe Issa Haji Ussi {ccm}
Naibu Waziri- Wizara Elimu na Mafunzo ya Amali
Mhe Zahra Ali Hamad {cuf}
Naibu Wizara ya Afya
Dr Sira Ubwa Mamboya {ccm}
Naibu Waziri- Wizara ya Habari Utamaduni,Utalii na Michezo
Mhe Bihindi Hamad Khamis {ccm}
Naibu Waziri- Wizara ya Ardhi, Makaazi,Maji na Nishati
Mhe Haji Mwadini Makame {cuf}
Naibu Waziri- Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko
Mhe Thuwaiba Edigton Kissasi {ccm}

























No comments:
Post a Comment