Wednesday, 15 December 2010

Rais Jakaya Kikwete Amemteua Magnus Jacob Ulungi


UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone: 255-22-2114512, 2116539
E-mail: press@ikulu.go.tz
Website: www.mawasilianoikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425


PRESIDENT’S OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania
-------

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Bwana MAGNUS PAUL JACOB ULUNGI kuwa Kamishna Mkuu wa Uhamiaji.

Bwana Ulungi anajaza nafasi iliyoachwa wazi na Bwana Kinemo W.D. Kihomano ambaye amestaafu kazi kwa mujibu wa sheria.

Kabla ya uteuzi huo Bwana Ulungi alikuwa Kamishna wa Uhamiaji Kitengo cha Sheria. Uteuzi huu unaanzia tarehe 09 Desemba, 2010.

(Phillemon L. Luhanjo)
KATIBU MKUU KIONGOZI

No comments:

Post a Comment